For booking inquiries, please call +255 (0)787 513 633

News and updates

Likizo ya OK:TBC1 kurudia vipindi vya zamani.


Televisheni ya Taifa TBC1 imeamua kurudia vipindi vya zamani katika kipindi chote ambacho OK ikiwa likizo.
OK iko likizo kwa Januari nzima 2012

Orijino Komedi iko likizo kwa kipindi chote cha mwezi Januari 2012. Wasanii na wafanyakazi wa OK,
Vengu aenda matibabu India
Joseph D. Shamba - Vengu amesafirishwa kupata matibabu ya ziada katika hospitali ya Apolo nchini India takribani majuma matatu yaliyopita. OK inatoa shukrani kwa serikali kuu, wizara ya afya, hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ndugu, wapenzi na marafiki kwa msaada wa hali na mali kuhakikisha afya ya Jose ikiimarika. OK inamtakia Jose matibabu yenye mafanikio na apone haraka ili kuendelea na kazi kama kawaida
Mtaalamu wa Sauti wa Orijino Komedi Afariki Dunia
Aliyekuwa mtaalam wa sauti wa Origino Komedi Bwana Mohamedi Muya amefariki dunia tarehe 03.05.2011 baada ya kugongwa na basi la Abood akiwa anaendesha pikipiki maeneo ya Kimara Dar es Salaam.

Mazishi yamefanyika tarehe 04.05.2011 nyumbani kwao maeneo ya Korogwe.

Uongozi wa Origino Komedi unaungana na wafiwa wote na kuomboleza msiba huu mzito.

Mungu ailaze roho ya marehemu Mohamed Muya mahali pema peponi. Amen.

TBC1

About Orijino Komedi

Orijino Komedi ni kikundi cha wasanii sita wakali wa vichekesho Tanzania ambao hurekodi na kurusha vichekesho vya katika televisheni ya Taifa TBC1 kila Alhamisi saa moja jioni.

» Read rest of story

Leave a message
Dawa ya Mapenzi

Dawa ya Mapenzi

Views: Views 20295
Comments: Comments 422
Click here to watch
Ndoa Ndoano ep3

Ndoa Ndoano ep3

Views: Views 11323
Comments: Comments 248
Click here to watch
Ndoa Ndoano ep2

Ndoa Ndoano ep2

Views: Views 11868
Comments: Comments 190
Click here to watch


Top News

Poll

Unafikiri nini kiboreshwe zaidi

Uigizaji
Maneno
Mavazi
Matukio